HERI YA KRISMAS KWA WAKRISTO WOTE DUNIANI

 


LEO Wakristo wa Tanzania wanaungana na Wakrito wengine kote duniani kusherehekea Sikukuu ya Krismasi.
Sisi Afya yako Blog Tunasema kwa furaha kubwa kabisa  kuwa tunawatakia Wakristo wote wa Tanzania na ulimwengu kwa ujumla wao Krismasi njema

Comments