
Mgonjwa wa mwisho wa corona ametangazwa kupona tayari na sasa hakuna mgonjwa mwingine wa corona na hakujaripotiwa maambukizi mapya kwa siku 27 sasa
Rais Magufuli jana, alisema Mungu amejibu maombi ya Watanzania ambao
wamesali, wamefanya toba na kufunga, na matokeo yake maambukizi ya
corona yamepungua na wananchi wanaendelea na maisha yao huku wakichapa
kazi, tofauti na ilivyodhaniwa kuwa corona ingesababisha madhara
makubwa.
#AfyayakoUPDATES
Comments
Post a Comment