PLUTIN: RAIA WANATAKA NISIONDOKE IKULU


Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema Warusi wengi zaidi wameunga mkono mpango wake wa mabadiliko ya katiba ili kumpa mwanya wa kubakia madarakani, Putin mwenye miaka 67 amesema Raia wengi nchini humo wamekubali mpango huo ambao utamwezesha Putin kusalia kwenye kiti cha Urais .
#AfyayakoUPDATES

Comments