NDALICHAKO NA MIHULA MIPYA

“Shule za msingi na sekondari watamaliza muhula wa kwanza wa masomo Aug 28,2020 na kuanza muhula wa pili utakaoishia Dec 18,2020, ili kukamilisha muhtasari wa masomo, shule (isipokuwa Awali) zitalazimika kuongeza saa 2 za masomo kila siku ili kufidia muda uliopotoea”- Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako

"Kwa wanafunzi wa kidato cha tano wataripoti shuleni June 29,200 kama ilivyoagizwa, watasoma na kukamilisha muhtasari wa kidato cha tano na mitihani ifikapo July 24,2020, wanafunzi hawa wataanza rasmi masomo ya kidato cha sita July 27,2020" - NDALICHAKO

Comments