JPM: "MWAMBIENI KAMISHINA NIMEMSAMEHE "

“Sisi wote ni wadhambi unapomuona Mtu anaonesha dalili za kutubu, msahama lazima uwepo, hata aliyekuwa Kamishina wenu wa Jeshi la Zimamoto (Andengenye) simrudishi fire lakini nitamtafutia kazi nyingine, ameniomba msamaha mara nyingi, mwambie nimemsamehe” -JPM
#AfyayakoUPDATES

Comments