JPM: "HATA UROGE NAMNA GANI, SIBADILIKI"

“Fedha za bure katika kipindi changu ni mbaya, zitawaharibia maisha na mimi hata uroge namna gani sibadiliki, nawapongeza Zimamoto, kuna wakati mnapoenda kuzima moto hakuna njia, ila unatukanwa Zimamoto”-JPM
#AfyayakoUPDATES

Comments