JPM ATOA WITO KWA WATANZANIA


Rais Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kuwa makini dhidi ya mbinu zozote zinazoweza kufanywa kuwaambukiza corona  ama magonjwa mengine, huku wakimshukuru na kumtumaini Mwenyezi Mungu aliyemuweza wa yote
#AfyayakoUPDATES

Comments