
“wale wanafunzi wa form 5 ambao hawataripoti kwa wiki mbili nafasi zao zinachukuliwa na wanafunzi wengine na ambaye hatadhibitisha nafasi yake kwa wakati nafasi yake itachukuliwa. Hatutaki kusikia malalamiko mara baada ya maelezo tunayoyatoa”. Amesema Waziri Jafo
Kwa upande wa Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema Utaratibu
wa kidato cha tano wapya kuanza masomo utatolewa na waliopo watasoma na
kukamilisha masomo ya kidato cha tano na kufanya mitihani July 24 na
July 27 wataanza masomo ya kidato cha sita.
AfyayakoUPDATES
Comments
Post a Comment