BENDERA YAPEPEA NUSU MRINGOTI KENYA KUOMBOLEZA KIFO

Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi
Rais Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo Juni 8

Serikali ya #Burundi imetangaza maombolezo ya siku 7, na bendera yao itapepea nusu mlingoti kwa siku zote hiz.

Comments