BENDERA NUSU MLINGOTI MPAKA PIERE AZIKWE



Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza maombolezo ya Kitaifa Rwanda kufuatia kifo cha Nkurunziza na ameagiza Bendera ya Rwanda na ya Jumuiya ya Afrika Mashariki zote zipeperushwe nusu mlingoti nchini humo kuanzia leo June 13 hadi siku Nkurunziza atakapozikwa.
#AfyayakoUPDATES

Comments