VYUO & FORM SIX SHULE JUNE 01

“Kutoka na kwamba hali kwa sasa ipo vizuri na corona inapungua, tumeamua vyuo vyote vifunguliwe June 01 mwaka huu, Form six ambao wanajiandaa na mitihani yao na wao watarudi shuleni June 01, 2020” -JPM
#AfyayakoUPDATES

Comments