UMMY: ASANTE JPM KWA KINITIA MOYO


“Asante Rais Magufuli kwa kuendelea kuniamini na kunitia moyo katika kusimamia Sekta ya Afya nchini hasa kipindi hiki cha mapambano dhidi ya #COVID19, naahidi kuendelea kuitumikia Nchi yangu kwa bidii, uaminifu na maarifa zaidi”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu baada ya kupewa pongezi na JPM jana kuwa anapambana na ameendelea kusimama imara hata kipindi hiki cha corona
#AfyayakoUPDATES

Comments