NDUNGULILE TAYARI AMEKABIDHI OFISI

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile, tayari amekabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Waziri mpya wa Afya Dkt. Mollel>>”nampongeza Dkt Mollel kwa kuteuliwa na namshukuru sana Waziri Ummy kwa ushirikiano alionipa, namshukuru JPM kwa imani yake kwangu”
#AfyayakoUPDATES

Comments