MAAMBUKIZI YAZIDI MILIONI TANO 'CORONA'

Idadi ya maambukizi ya corona Duniani imepindukia Milioni 5 ambapo hadi asubuhi hii maambukizi yamefikia 5,149,669 Duniani kote, vifo vya corona Duniani kote vimefikia 334,552 huku idadi ya wagonjwa waliopona ikipindukia Milioni mbili na kufikia 2,041,317.
#AfyayakoUPDATES

Comments