CORONA: WATU WAZIDI KUPONA

Idadi ya jumla ya maambukizi ya corona imeongezeka na kufikia 5,468,433 Duniani kote huku vifo vya corona Duniani kote vikiongezeka pia na kufikia 346,877, idadi ya wagonjwa waliopona imepindukia Milioni mbili na kufikia 2,259,710.
#AfyayakoUPDATES

Comments