CORONA: VIFO VYAZIDI ELFU 99

Vifo vya corona vinakaribia kufikia Laki moja Marekani ambapo hadi asubuhi ya leo tarehe 25/5/2020 kuna vifo 99,300, maambukizi pia yanaongezeka Marekani, ina maambukizi 1,686,436 na wamepona Watu 451,702, Uingereza ina vifo 36,793 na maambukizi 259,559 na Italia vifo 32,785 na maambukizi 229,858.
#AfyayakoUPDATES

Comments