CORONA: VIFO VYAZIDI ELFU 96

Vifo vya corona vimeongezeka na kufikia 96,354 nchini Marekani hadi asubuhi, maambukizi pia yanaongezeka Marekani, ina maambukizi 1,620,902 na wamepona Watu 382,169, Uingereza ina vifo 36,042 na maambukizi 250,908 na Italia vifo 32,486 na maambukizi 228,006.
#AfyayakoUPDATES

Comments