CORONA: TUNA MADAKTARI BORA

“Madaktari wa Uganda wamethibitisha kwa vitendo sio kwa kusukumwa kuwa ni Madaktari bora hapa Uganda na Dunia nzima, ndio maana hatuna hata kifo kimoja cha corona na wagonjwa 66 wamepona, baada ya janga hili kumalizika tutawapa medali za heshima”-MUSEVENI
#AfyayakoUPDATES

Comments