CORONA KENYA MAAMBUKIZI 1109

Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wa corona wameongezeka na kufikia 1109 nchini humo kutoka wagonjwa 1,029, wagonjwa waliopona na kuruhusiwa wamefikia 375 kutoka 366, huku vifo vya corona Kenya vikisalia vilevile 50.
#AfyayakoUPDATES

Comments