CORONA: CHANJO 'SOKWE & TUMBILI'

Nchi ya Thailand inaendesha majaribio ya chanjo ya corona kwa sokwe na tumbili, Watafiti nchini humo wanaamini mapema mwakani watakamilisha tafiti zao na chanjo hiyo itaanza kutumiwa na Binadamu>>”Nchi masikini na zinazoendelea zisisubiri kuuziwa tu, tugundue vya kwetu, chanjo yetu itauzwa bei rahisi kuliko za Ulaya na Marekani kama na wao watakuwa wamefanikiwa kupata”
#AfyayakoUPDATES

Comments