WIZARA ANDAENI MIKOPO MAPEMA

“Ugonjwa wa corona usiwacheleweshe Vijana hawa warudi vyuoni June 01 kuendelea na masomo, Wizara ya Elimu na Wizara ya fedha mjiandae ili vyuo vikifunguliwa pasiwe na kero, kama kuna anayestahili kupata mkopo uandaliwe mapema, zimebaki siku 9, zinawatosha”-JPM
#AfyayakoUPDATES

Comments